Tuesday, October 20, 2020

Dress well on a budget!!

We have this notion in our heads that if we want to look good, presentable and all that... then we have to wear expensive big-branded clothing. Of course, I agree that wearing such brands can boost your self-esteem, confidence and even portray your financial status but it doesn't mean wearing rather small branded or thrift clothing makes you any less of a boss, besides, you can still find big brands in thrift stores! 

Wednesday, March 4, 2020

Vipodozi vya asili na muonekano wa urembo




Vipodozi vya asili vimekuwepo toka enzi na enzi. Katika miaka ya 80, wakina mama walitumia sana magamba na majani ya miti yaliyosagwa kama aina fulani fulani ya vipodozi. Leo hii, bado tunaona baadhi ya makabila ya Tanzania yakitumia michanganyiko mbalimbali kwa mfano, mafuta ya samli, maparachichi nk kama vipodozi vya kulainisha ngozi.


Wednesday, February 26, 2020

Hadithi ya Kitenge

Image result for fashion za kitenge

Kitenge ni aina ya kitambaa kilichotengenezwa kwa material ya pamba ambacho kina michoro na urembo wa maumbo na rangi mbalimbali. Neno "Kitenge" ni neno la Kiswahili, na hutumika zaidi katika nchi za Afrika Mashariki. "Chitenge" ni neno linalotumka kama m'badala wa Kitenge kwenye nchi za Malawi na Zambia.

Saturday, July 12, 2014

MALI MPYA NA MWEZI MTUKUFU...!

Habari ya mfungo wa Ramadhani wapendwa wateja wetu... 
Kama kawaida ya Myner Vitenge Collection, tuko makini kuwaletyea mambo mazuri ili mpendeze.

Katika toleo hili jipya la "Makenzi", tumewaletea mali mpya na madhubuti.
Karibuni sana na kwa maelezo zaidi kuhusu mzigo huu tafadhalu wasiliana na Myner on +255782200000














Friday, May 2, 2014

Vitenge vipya vimewasili wahi chako sasa.

Karibuni tena Myner Vitenge Collection, kama kawaida yetu siku zote tuko kwaajili ya wateja wetu kwa kila namna katika kuwaletea mali bora kwa bei  ya kitanzania.